(News) Mwana FA na AY kwenda Nairobi kurekodi ngoma na Producer Eric Musyoka

0

DSC_7614-800x5371

Pichani: AY & Mwana FA

Mwana FA na AY aka The Gladiators Jumanne hii watatua jijini Nairobi kwenda kurekodi ngoma mbili na producer maarufu wa Kenya, Eric Musyoka.

eric_002

Prod Eric Musyoka kutoka Nairobi Kenya
Musyoka ni mshindi wa tuzo katika fani hiyo na anafahamika kwa kutengeneza hits kibao zikiwemo Biceps ya Juliani, Kadhaa ya Nonini, Juu Tu Sana ya P Unit, Furahiday ya Nonini na Nameless,Leta Wimbo ya kundi la Sema na Ha He ya Just A Band.

Comments

comments