Alichoongea Kamanda wa Polisi Dodoma baada ya kumkamata CHIDI BENZ na dawa za kulevya

0

Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto ameiambia Ayo TV na millardayo.com kuhusu kukamatwa kwa msanii wa Bongo Fleva Chid Benz pamoja na wenzake wawili akiwemo mpenzi wake kukamatwa akiwa na Dawa za kulevya.

SOURCE Millard Ayo


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments