Saturday , 25 October 2014
Yatosha Web Servicesfree vector
Twitter
chokadj on Twitter
Latest Tweet: NEW AUDIO: Berry Black – Si Bure http://t.co/Q5DSPsPMjN
73,934 people follow chokadj

djchokamusic
2156
 Photos
9793
 Followers
2
 Following
HATIMAYE LEO NI LEO!!
Ile siku ambayo Wana-Mbeya walikuwa wanaisubiri kwa hamu IMEWADIA...Ndani ya NEW CITY PUB kuanzia saa 2 Usiku ile PARTY ya kijanja kuliko zote itakuwa inarindima..INSTAGRAM PARTY ndani ya Mbeya..
@izzo_bizness pale kati..
@shettatz akikamua mwanzo mwisho...
#Stereo akiwarusha kwa Hip Hop Adimu...
@niitesonga akitoa mistari konde usiku kucha...UNAANZAJE KUKOSA??Tukutane CITY PUB kuanzia Saa 2 Usiku...Watu wangu wa SAUT...MZUMBE...TEKU...MUST...TUMAINI...IYUNGA...Tukutane hapo BILA KUKOSA
Mtonyo ni Elfu 10 tu na Bia ya BURE ya CLUB07 mlangoni paaap!!!
Powered by @bikira_wa_kisukuma @bikira_wa_kisukumaTriple A FM RADIO presents ROMA NYT @MILESTONE NIGHT CLUB...mbele ya sakina supermarket!!! Tsh. 10000/=jumapili 26th after tigo show!!! Cc @roma2030Only 1 more days to go, the countdown continues!!! Muziki Wa Hisia, Sherehe ya Mji Mzima!!!
#MuzikiWaHisia #AllianceFrancaise #Arusha #25thOctober #GoodMusicforGoodPeopl #Livemusic #LiveConcert #ShereheYaMujiMuzima #NiShidaaaa #Ifyoukillthismissyourself #dontforgettotellyourmama #oryoursister #kituchaArushaaa #chaliangu #nikwere #lmfao #EmbracetheMusic @gracematata @nakaayasumari @hisiatz @bensoul254 @xandacage @johnbgrand#DJChokaMusic inapenda kutoa salamu za Birthday kwenda kwa msanii wa Bongo Fleva anajulikana kwa jina la  @bongelanyau Mwenyezi akujalie maisha marefuWEUSI hawa hapa tena ndani ya ARUSHA #FungaMwakaLaWEUSI2014Only 2 more days to go, the countdown continues!!! Muziki Wa Hisia, Sherehe ya Mji Mzima!!!
#MuzikiWaHisia #AllianceFrancaise #Arusha #25thOctober #GoodMusicforGoodPeopl #Livemusic #LiveConcert #ShereheYaMujiMuzima #NiShidaaaa #Ifyoukillthismissyourself #dontforgettotellyourmama #oryoursister #kituchaArushaaa #chaliangu #nikwere #lmfao #EmbracetheMusic @gracematata @nakaayasumari @hisiatz @bensoul254 @xandacage @johnbgrand@teamtezza is calling out altezza out for a clean Ride or Die road trip to Bwagamoyo. Its gonna take place on the 26 of October starting point Mlimani City from 7a.m to 9a.m. Y'all dont miss this..Tell a friend to tell a friend to show up. For More info please call +255 683 246 261 #RideOrDieJarida linaloongoza Bongo kwa mastori ya kufa mtu ‘Baabkubwa Magazine’ kwa kushirikiana na kampuni ya Drimz wanakuletea bonge moja la party linaloitwa ‘Party With Baabkubwa’ ambalo litahudhuriwa na mastaa kibao wa Bongo.

Mbali na mastaa kutakuwa na mashindano ya wasanii wanaoimba na kuchana wanaosoma vyuo vikuu na winnerz watapata very Big Deal ikiwemo ku-record singoz matata kwa Lamar wa FishCrab Audio Station.

Kwa mdada na mkaka watakaotoklezea na swagga za ukweli watapata gift bomba from duka bora la nguo in the city la Street Soul.
Mtonyo wa mlangoni ni sh 10,000 na watu 50 wa mwanzo watapata pia mazawadi ya ukweli, hayo ni machache tu mengi yata-happen Club Sun Cirro, Sinza, tarehe 1/ 11/ 2014 siku ya Jumamosi.

Be there or be squared… njoo u-dance mpaka udondoke!!!Stay Tune....FRESHERS and BACK TO COLLEGE PARTY
at jembe beach this friday 24th oct From saa Mbili tiLL mama calls

Kwa mtonyo wa buku 10 tu utapata kuona show Kali toka kwa Barnaba Classic & Mwanza's best.

free style battle, Dance battles & Special appearance ya Mwanza's finests

Mziki Mzuri toka kwa maDJ wa kali,

Free Mapicha picha kwenye red carpet,

Na kupiga story na washkaj wa vyuo vyooooote vya Mwanza

utakosaje kwa mfano!!! Cc @almah_bronxi @qulatexx @fahad_fuad

tag em friends @jaka_Reynolds @goodboy_william @phany_john @dr.charlz @ibrahlema @ayonephew @mgullu @kelvizo @brendarichy @haxy_belle @neerabebz @janelly_ezzey @ngoloii255 @cwtyjoy @annobwax_jr @young___wiz @willzcrank @bobndassa @chansa_official @tanzanian_chicca @jaysikei @deejaydavy @cutemazeed @princedamond @eunque @linsykichulde @norieger14 @iamyudatz @jos4rly @thom_jr @j_o_h_n_y_b_o_y @sajo_nar @soulja_omtellem @trinajohn05 @marysamo02 @malkiareen @martine_frank @jovetha @geordensosFresh radio, fresh120media na Peruzi Online .. all under @jjosephofficial  @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial @jjosephofficial

Now on his personal account so picha zake humu zitapungua fanya kufataDODOMAAA Niajeeeeeeeeeeeeee Yule mtoto @izzo_bizness kutokea #MbeyaCity sasa yuko tayari kukunja kona ya #MsavuMorogoro na kuanza safari ya kuelekea #Dodoma. Ni Jumamosi hii pale @newmaishaclub Dodoma kwa kiingilio cha buku 7 TU mlangoni. Wale Walala Hoi wote wa Dodoma hii ni nafasi yenu nyingine ya kuja kumwona #KingWaWalalaHoi East Africa kwa steji.Kitu kizuri kinakuja