Baada ya ugomvi wa Twitter, GODZILLAH Vs WAKAZI wakutana uso kwa uso NANI MKALI?? #BongoDotHome

0

Baada ya utata ulioanzia kwenye mtandao wa twitter kati ya wasanii wa HIPHOP GODZILLAH na WAKAZI hatimaye wakutana kwenye kipindi cha BongoDotHom na mtangazaji RAHEEM na kuamua kuonyeshana uwezo wa Michano.


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments