Ifahamu website mpya “INFOOSS” yenye lengo la kutatua matatizo muhimu katika jamii zetu za Afrika.

0

img-20161105-wa0000

Express Mils AB has launched a new website on the 12th of November 2016 in Gothenburg Sweden. With a wide audience, the launch party, included people from different countries and all walks of life.

Founders being Sadiq. I. Magaji from Nigeria and Alice Louis, from Tanzanian , both residing in Sweden.

www.infooss.com is a forum with essential materials that include, key health issues, education, environmental issues, relationships, communities, transport safety, travels, computer/IT, traffic safety and general enterprises.

The aim is to widely empower knowledge and experience sharing to solve key problems in Africa and all over the world, by you and us, the Infooss team of experts, and more importantly having you as a biggest contributer through your knowledge and experiences.

Express Mils AB, Inayoendeshwa na Alice Louis ambaye ni mtanzania na partner wake Sadiq Magaji, Ilizinduwa tovuti mpya Novemba 12, 2016, mjini Gothenburg nchini Sweden. Pamoja na wahudhuriaji wengi, uzinduzi huo umejumisha watu kutoka nchi mbalimbali na katika nyanja zote za maisha.

www.infooss.com ni jukwaa la kimtandao linazungumzia masuala muhimu ya afya, elimu, mazingira, usalama barabarani, mahusiano, jamii, safari, kompyuta / IT, Traffic Usalama na General Enterprises katika jamii yetu ya Africa.

Lengo ni kuinua upeo wa kugawana maarifa na uwezo wa jinsi ya kutatua matatizo muhimu katika jamii zetu za Afrika na duniani kote. Infooss ina timu ya wataalam kwenye nyanja tofauti ambao wanaweza kujibu maswali yako na vilevile kutoa ushauri wa jinsi gani unaweza kutatua matatizo mbalimbali.

Muhimu zaidi ni kuwa na wasomaji kama wachangiaji wakubwa kwa njia ya elimu na uzoefu walionao pia.


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments