JINSI YA KUSHIRIKI KWENYE PROMOSHENI YA CASTLE LITE:

0

 • Promosheni ya Castle Lite Unlocks inawaletea Watanzania tamasha la mziki kubwa ambalo haijawahi kufanyika Tanzania. Ambapo tutashuhudia Msanii wa kimataifa Future akishirikiana na na msanii Mahiri na Maarufu sana Tanzania Diamond Platinums katika Jukwaa moja tarehe 22 Julai katika uwanja wa Leaders jijini Dar es salaam.
 • Promosheni ya Castle Lite Unlocks itawapatia wateja nafasi ya kushinda zawadi mbali mbali zikiwemo; muda wa maongezi wa Ths 10,000/- kwa washindi 2,500, tiketi Zaidi ya 1000, (30 za VIP na tiketi 1,000 za General Access)
 • Unaweza ukashiriki hii promosheni hii mahali popote ulipo nchini Tanzania kwa kununua bia ya Castle Lite angalia nyuma ya chupa yako kwa maelezo zaidi.
 • Maelekezo ya namna ya kushiriki kwenye hii promosheni ili ushinde.
 • Labda kwa kukumbusha tena ni zawadi gani unaweza kujishindia katika promosheni hii ya Castle Lite Muzic Experiecne.

 • Pia kumbuka kutakuwa na promosheini katika katika bar mbalimbali nchi nzima ili kuongeza hamasa , hiyo fika katika bar iliyo karibu nawe ili kushiriki katika promosheni mbalimbali zinazo endelea ili ujishindie tiketi na zawadi Zaidi.
 • Kumbuka kuulizia Extra Cold Castle Lite na unaweza kushiriki mara nyingi uwezavyo.

Kuhusu Castle Lite?

 • Castle Lite ni bia baridi yenye hadhi ya juu inayotengenezwa na kupakiwa hali ya ubaridi wa hali ya juu ndio maana unlocking extraordinary enjoyment.
 • Castle Lite imekua mbunifu toka kuanzishwa kwake na mpambaji katika soko la bia. – Ni bia laini yenye kiwango cha 4% ABV, ambayo pia inakiwango cha chini cha Carbohydrates, lakini chochote “ULaini” wa Castle Lite unakupa Ladha ilio kamilika laini na inayoburudisha.
 • Castle Lite imekua mbunifu wa hali ya juu na uzoefu na imekua maarufu kupitia nembo yake ya“snowflake” ambao hubadilika na kuwa na rangi ya blue ikiwa imepata ubaridi wa kutosha, nembo hiyo inapobadilika na kuwa na rangi ya blue inakuonyesha kuwa Castle Lite imefikia ubaridi bora tayari kwa kunywewa.

Je nani mnywaji wa Castli Lite?

 • Castle Lite ni kwa wanaume na wanawake wenye mtazamo mzuri wa maendeleo ambao wana ushujaa unaowafanya kua tofauti na wengine sababu ni bia yenye hadhi ya juu na kipekee.

Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments