Just A Minute 15th March 2018: Prepared & Hosted by Jayjoe “Jizzle” aka MangiThe3rd.

0


I NEED YOU TO GET THIS
& HIP HOP NEEDS YOU, TO GET THIS MAAAN!
Najua bado unashangaa, na umepigwa na #butwaa
kujua nini ambacho nazungumzia.

New ALBUM in Town! – KISIMANI!
Hii hapa #mali ya #wakazi literally, kwamba ni yako na
yake pia aiseee…

Kesho, tarehe 16 iJumaa pale SLIPWAY – PAPARAZZI
al-maarufu kama BONGO DREAMERS kuanzia saa moja
usiku mpaka saa tano usiku . . . Ndipo utakapofanyika
RASMI uzinduzi pekee wa ALBUM hii hapa ya kipekee
kabisa #kisimani.

Now,
The good thing is, you can get the ALBUM right now, today
by PRE – ORDERING it kupitia www.mkito.com na pia #CD
zinapatikana kwa ORDER MAALUM.

The #gagis, you have #18+ #tracks on this ALBUM here maaan
…..embu ngoja niseme kwa #kiswanga aiseee….,Nasema!….
kuna #midundo 18 humu ndani ya hii ALBUM #ndugujamaa
na ndio maana nikaanza kwa kusema kwamba”

I NEED YOU TO GET THIS, AND HIP HOP NEEDS YOU TO
GET THIS ONE – #truetalk #workethic #supportyourown
#HapaWakaziTu #kisimani.

THAT’S THAT!.


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments