Kaa tayari kwa ujio mpya wa BAGH DAD & JO GIFT “ULILETWA”

0

Huu ni ujio mpya kutoka kwa msanii BAGH DAD akiwa na mke wake wa ndoa anayeitwa jina la kisanii JO GIFT. Hiki ni kionjo cha video yao mpya inayokuja tarehe 17 mwezi huu wa pili na video hiyo imepewa jina la ULILETWA.

Produced wa wimbo anaitwa ISSAM kutoka studio ya YAKWETU huku Dir wa video akiwa mwenyewe Bagh Dad.


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments