Leo vimetajwa vipengele vingine viwili vitakavyowania tuzo za EATV, navyo ni…

0

eatv-awards1

Vipengele hivyo viwili vilivyotajwa ni pamoja na video bora ya muziki na kundi bora la muziki.

Video bora ya muziki

Njongereza – Navio
Don’t Bother – Joh Makini
Namjua – Shetta
Aje – Alikiba
Lady Jaydee – Ndi Ndi Ndi

Kundi bora la muziki

Wakali Wao – Chozi Langu Utalilipa
Navy Kenzo – Kamatia
Mashauzi Classic – Hakisleti
Team Mistari (Calvo Mistari & Bobby Mapesa) – Tuzidi
Sauti Sol – Unconditional Bae


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments