LISTEN & DOWNLOAD | #NewAUDIO: Jux – UTANIUA

0

JUMA JUX – Mkali wa Muziki wa R&B BONGO, Amedondosha Single yake ya kwanza baada ya Ku garaduate   “UTANIUA”.

 UTANIUA – Ni wimbo unaozungumzia Mapenzi ya dhati yaliyo kuwepo baina ya wapendanao, Ghafla inatokea hali ya kutokuwa na maelewano ni hali inayozua maswali mengi baina ya wapendanao hao!!

 Bado najiuliza ni kipi sijatimiza, Bado najiuliza ni kipi kina kuumiza bado najiuliza ni kipi mi sijaweza“ – JUMA JUX.

 Pamoja na kutekeleza wajibu na Majukumu yote ila bado ni utata katika mahusiano hayo ya wawili wapendanao “UTANIUA”

 Nilijichanga Changa ili mladi Upendeze, Nikajibana bana mi nisijikweze Sikutaka kugombana mi Nikupoteze Baby!!…..” – JUMA JUX

 Hii ni single ya Kumi (10) na pia yupo sasa katika maandalizi ya kuachia Album yake ya kwanza!!

 Enjoy “UTANIUA” kwa Sasa! 


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments