LISTEN | #NewAUDIO: Bibi Cheka feat. DJ Tiffa – HALI YANGU

0

Bibi cheka .ni mwanamke mjane…kutoka kwa hayati..mume wake ..Ambae alikua mwana mussic..HAYATI baraka mushee ….bibi cheka yeye alikua ni mwanamke wa pili.kwa BARAKA MUSHEE.maisha yake kwa sasa.bibi cheka anaishi BUNJU .NA maisha yake ni magum sana..tofauti na jamii inavyo mchukulia wenda akawa na maisha mazuri..anaishi katika nyumba ya udongo.,hata uwezo wa kumiliki simu ndogo ya elf 20 hana..kuyumba kwake ki muziki ni pale alipo patwa na ugonjwa .wa ajabu na kubabuka ngozi .na ngozi kuanza kutoa magamba kama ya nyoka…kuanzia hapo boss wake alimterekeza..MSANII AMBAE ANAMKUMBUKA NA KUMJALI NA KUMPA MSADA NI.DOGO ASLAY


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments