LULU DIVA AFANYA ZIARA YA SIKU 17 NCHINI KENYA.

0

Msanii wa Muziki wa (Bongo Flava) Lulu Abbas a.K.a LULU DIVA the Queen of Bongo Flava, anafanya ziara ya Siku 17 Nchini KENYA (NAIROBI & MOMBASA) akiwa Chini ya BORN TO SHINE PR.
Lulu Diva anaendelea  kufanya MEDIA TOUR yake nchini kenya na Mpaka sasa tayari amesha launch VIDEO yake Mpya ya UTAMU, ndani ya CLUB TRIBEKA….
LULU DIVA pia anategemea kufanya interview siku ya Ijumaa (leo) hii katika TV Show ya Citizen TV “TEN OVER TEN” Pamoja na hilo Msanii huyu mwenye Mvuto wa kipekee anatarajia kusign deal na lebel kubwa Nchini kenya siku ya Juma Mosi!!!…..
Born to Shine PR itakupa information zote za LULU DIVA MEDIA TOUR Ndani ya NAIROBI na MOMBASA, KENYA.


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments