Msanii Moses Radio aliyekuwa Katika Kundi la Goodlyfe amefariki Dunia Asubuhi Hii.

0

Mwanamuziki wa Nchini Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Mozey ‘Radio’ wa kundi la Radio & Weasel la nchini Uganda, amefariki dunia asubuhi leo.
: ‘Radio’ alikuwa amelazwa hospitali kwa takribani wiki mbili sasa, alivunjika shingo na fuvu la kichwa baada ya kuanguka wakati akigombana na Mlinzi wa ukumbi mmoja wa starehe jijini Kampala Uganda. .
Mwenyezi aiweke roho yake mahala pema peponi.


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments