MUZIKI bila MADAWA YA KULEVYA inawezekana – T.I.D

0

Leo mapema mchana Mkuu wa mkoa Mh Paul Makonda alimuita T.I.D nyumbani kwake Masaki na kufanya nae mazungumzo ikiwa ni siku mbili zimepita toka Makonda amsifie T.I.D kwa kukiri kuwa tayari kusaidiwa kuachana na dawa za kulevya.

Hii ni post ya picha aliyoiweka TID kwenye account yake ya Instagram leo.


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments