(New Audio) Belle 9 – Wanitaka

0

belle-9

Baada ya kimya kirefu msanii anayewakilisha mkoa wa Morogoro Belle 9 sasa amerudi tena na kibao chake kipya kinachoitwa WANITAKA. Ndani ya wimbo huu anamuelezea msichana ambaye anampenda mtu lakini kumbe anamtamani amtumie tu halafu amuache. Sasa endelea na wewe umsikilize kijana huyu mwenye sauti ya kipekee ambaye kwa sasa anakaribia kumalizia album yake aliyoipa jina la VITAMIN MUSIC

Comments

comments