NEW AUDIO: Joe Marley – MUCH MORE

0

REMARKABLE SOUND STUDIOS inaitambulisha kwako ngoma mpya iendayo kwa jina la MUCH MORE iliyofanywa na msanii mahiri wa miondoko ya Dancehall nchini Tanzania JOE MARLEY, na kutengenezwa chini ya usimamizi wa watayarishaji vinara JETMAN DIZANO na MUCHMORE.
Ngoma hii ni moja kati ya zao la project ya MFALME RIDDIM inayofanywa na wasanii walio katika group la REGGAE & DANCEHALL MILITARY kwa lengo la kukuza muziki wa reggae na dancehall Tanzania na pia ku-raise fund ya kumsaidia ndugu yetu mtayarishaji na muimbaji wa muziki wa dancehall JETMAN DIZANO aweze kupata matibabu. Naomba support yako wewe kama mdau na shabiki wa muziki mzuri kusikiliza na ku-share wimbo huu ili kukuza sanaa ya msanii husika na sanaa ya Tanzania kiujumla.
#AmkaNaJetman


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments