Wednesday , 16 April 2014
free vector
Latest Tweet: #DJChokaMusic: (Photo’s) Yaliyojiri kwenye Birthday Party ya mdogo wake Kajala “DORY” http://t.co/hbkM8yiZUg
49,436 people follow chokadj

chokadj
1764
 Photos
20094
 Followers
410
 Following
Niko #SamakiSamaki ya town kwenye bday party ya mdogo wake @new_kajala more pic zinakuja kupitia www.djchokamusic.com STAY TUNEUkimzungumzia mtu anayetupia pale kwa ndugu zetu Nairobi Kenya hutoacha kumtaja @prezzo254 sasa hiki ni kichupa chake kipyaaaaaaa kinaitwa #MyGirl ndani ya video hii yupo rafiki yangu @vee_beiby top model kutoka Kenya ili kuimalizia video hii basi ingia hapa www.djchokamusic.com#WagosiWaKaya wameingia Instagram hebu wafuateni hapa @wagosiwakaya halafu uone kama utajutia kuwafuata maana jamaa wanachekesha balaa me nadhani kama wasingekuwa waimbaji wangekuwa Comedian hahahaaa yaani wangekufanya mpaka #iingieeeeeeeeee damuni ucheshi waoRound ya Pili ya SWAHILI LUNCH BUFFET inahudumiwa NOW mpaka 4PM @NYUMBANI LOUNGE
Menu ya LEO ni
■Pilau ■Ndizi Bukoba ■Maini ya kuku ■Changu wa nazi ■ Njegere ■ Spinach
FREE WiFi. FREE Soft drink na Six course menu ya Kiswahili.
Karibu
Remember; VIP Tickets za Historia Concert zipo Now. Chukua mapema plsHahahaaa #WagosiWaKaya #BAOToka anunuliwe viatu vipya jana My son @chokajr leo kaamka mapema akaanza kulia sasa tunajiuliza analia nini, tukadhani anaumwa lakini wapi sasa bibi yake akasema hebu mvalisheni vile viatu vipya heeeeh si dogo akanyamaza na kuanza kucheza hahahaaaKichupa kipyaaaaaaaaa cha dada yangu @jidejaydee #NASIMAMA hiki hapa video imesimamiwa na @hefemi wee jamaa mbayaaaaaa sanaaaaaaa. Tiketi za VIP kwaajili ya kwenda kwenye lile show kubwa la #Historia itakayofanyika tarehe 2 May zinapatikana pale @nyumbanilounge usikose hii show maana itakuwa HISTORIA kwako pia.Ikifika jioni ni mwendo wa #Gahawa @roma2030 @sandytemu @djdommy @djjorsbless @professorjaytz Video hii inapatikana hapa www.djchokamusic.comHahahaaa video mbili mpya ya #WagosiWaKaya zimetoka moja ni hii inaitwa #BAO na nyingine ni #Gahawa sasa unatakiwa uiingize mpaka #iingieeeeeeeeee video iko hapa www.djchokamusic.comHii mvua ilikuwa inajifanya mjanjaaaa sasa ije tena mazafaka imeshatutia hasara kibao mpaka sasa. Leo hii ikinyesha tena itanitambua mimi ni nani. Kama unabisha NYESHANI KATIKA HARAKATI ZINGINE TENA ZA KUWA KARIBU NA FANS WAKE, KUJIONGEZEA KIPATO NA KUWAPA VIJANA WENZAKE AJIRA BAADA YA KUFUNGUA BARBER SHOP NDANI YA MTONI AZIZ ALLY, INAYOFAHAMIKA KAMA MAFUVU BARBER SHOP. MOJA KATI YA DJ WAKALI AFRICA MASHARIKI, DJ MAFUVU BAIBEEEY AMESEMA SAFARI HII ANAJISOGEZA KARIBU ZAIDI KWA MASHABIKI WAKE KWA KUSHUSHA VYOMBO VYA MUZIKI VIKUBWA AMBAVYO KWASASA VIKO TAYARI KWA KUINGIA MZIGONI. VYOMBO HIVI VYA MUZIKI VITAKUWA VIKIPIGA KWENYE SHEREHE NDOGO KAMA VIPAIMARA, SEND-OFF, HARUSI NA HATIMAYE KWENYE MATUKIO MAKUBWA KAMA COLLAGE BASHES, SCHOOL BASHES NA CONCERTS KUBWA ZA NDANI YA KUMBI NA NJE. SHUGHULI HIZI ZITAAMBATANA NA HUDUMA ZA U'MC KULINGANA NA HITAJI LA MTEJA NA PIA SIKU CHACHE ZA USONI ZITAKUWA CHINI YA KUMPUNI ANAYOIMILIKI MWENYEWE INAYOFAHAMIKA KAMA MAFUVU ENTERTAINMENT.  KWA MAWASILIANO ZAIDI SIMU +255 717 674 566 AU djadxxl85@gmail.com.Wit my beibe.... baridi kwishaaaaaaaNiko na ndugu zangu @prez_tito and @steveshuma wazee wa kulala UzeeniAt @nyumbanilounge wit my nica @steveshumaDar es SalaamHali ya Dar leo ni Shidaaaaaaaa sasa huyu nimemfumania akiwa anatetemeka utafikiri anakata roho... hahahaaa