(News) DAYNA NYANGE: ‘Diamond Kaniibia Wimbo Wangu Nilikuwa Nimshirikishe’ #MyNumberOne

0

Dayna nyange

Kufuatia kutoka kwa hit ambayo inapewa sapoti na video ya mapesa mengi, My Number One ya Diamond Platnumz, Mambo yameanza kuwa mambo baada ya msanii Dyna Nyange kuibuka na kudai kuwa mdundo wa ngoma hii ulikuwa ni wa kwake na ulikuwa ni kwaajili ya wimbo ambao ulikuwa aufanye akiwa amemshirikisha msanii huyo.
HABARI KAMILI INGIA HAPA

Comments

comments