(News) Kiongozi wa kundi la Zanzibar Njema ‘Ahmed Mgeni” afariki Dunia.

0

1231276_393655674095745_2108681747_nHabari zilizonifikia ni kwamba Marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kifua muda mrefu.Msiba upo ‘Amani fresh Zanzibar’kwa wazazi wake,anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni.

R.I.P Ahmed Mgeni..!!!!

Comments

comments