(News) NOMA – Tammy ft G-Nako & Becka Title Prod Chizan Brain Coming soon….

0

970610_10152621673945021_1860254119_nWengi humuita kwa jina la utani kama Nick Minaj wa Bongo lakini yeye hupenda sana aitwe kwa jina lake la kisanii TAMMY, siku za usoni anatarajia kuachia kibao chake kipya alichokipa jina la NOMA. Tammy anasema ndani ya wimbo huo amewashirikisha wasanii wenzake mmoja akiwa ni msanii wa Hip Hop anatokea kundi la WEUSI anaitwa G-NAKO pamoja na Becka Title, prod aliyesimamia wimbo huo anaitwa Chizan Brain so stay tune kwa wimbo wa NOMA na itakuwa noma kweli kweli

Comments

comments