(News) ZAIDI YA WANAWAKE 100 WAMENUFAIKA NA MIKOPO ISIYOKUWA NA RIBA TOKA VODACOM FOUNDATION

0

001 Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa (kushoto) akiwaelezea jambo wakina mama wajasiriamali wakazi wa Kimara, jijini Dar es waliofika katika Ofisi ya Serikali ya mtaa Michungwani Kimara,kuchukua mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na Vodacom Foundation kupitia mradi wake wa  MWEI zaidi ya wanawake mia moja(100)walinufaika na mikopo hiyo ya jumla ya shilingi Milioni kumi na nane kupitia mradi huo.

003Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania(katikati)akitoa muongozo kwa Wakina mama wajasiriamali wadogowadogo wakazi wa Kimara jijini Dar es Salam,waliofika katika Ofisa ya Serikali ya mtaa Michungwani Kimara,kuchukua mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na Vodacom Foundation kupitia mradi wake wa  MWEI zaidi ya wanawake mia moja(100)walinufaika na mikopo hiyo ya jumla ya shilingi Milioni kumi na nane kupitia mradi huo.

004

Comments

comments