#NewVIDEO: Z Anto – Kacheze unapochezaga (Official Music Video)

0

Msanii mkongwe wa muzik nchinii, Z Anto ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kacheze Unapochezaga’ chini ya label yake mpya ya ‘Lavi Davi Entertainment’. Video hiyo imeandaliwa na director Msafiri kutoka Kwetu Studio. Muimbaji huyo kipindi cha nyuma amewahi kufanya vizuri na wimbo kama ‘Mpenzi Jini’ na nyingine nyingi.


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments