Saturday , 19 April 2014
free vector
Latest Tweet: Ndio nakunywa lakini kuna wanaokunywa kuliko mimi ndio maana ikatokea hivi.... hakuna aliyeumia wala... http://t.co/SieuBfk05n
chokadj
1781
 Photos
20398
 Followers
420
 Following
Ndio nakunywa lakini kuna wanaokunywa kuliko mimi ndio maana ikatokea hivi.... hakuna aliyeumia wala kukwarudhika.. #ThisIsLifeWeekend inaanza Uwiiiiiiiiiiiiiii #Konyagi but I'm not #Balozi ni #Bata TU la #Pasaka leo nakunywa mpaka #iingieeeeeeeeeeUnafikiri me nitafanyaje wakati ndio kalilia kuvaa viatu vyangu @chokajr BASI SAWA kazuia nisiende kokote sijui nimpige #Makonzi 😂😂😂Nimeona taarifa ya msiba ya kaka #FrankKavemba kwa @arthurmgongo nimeshtuka sana. Wale vijana wenzangu wa Sinza Kwa Remmy nadhani mtakuwa mnamkumbuka Frank. Nilikuwa sijaonana nae toka alipoamia #Mbagala kwenye nyumba yake. Pumzika kwa amani kaka Frank naambiwa msiba uko nyumbani kwake Mbagala. Daaaah#GoodFriday #IjumaaKuuKwa wakatoliki wote ikifika saa sita usiku huu inakuwa ni Ijumaa Kuu so kula NYAMA inakuwa NO #NimekumbushiaTUNASIMAMA Party was post poned to THIS FRIDAY 18th April

RED Carpet treat with FREE Makeup by Ori Flame:
Featuring:-
The making of Nasimama Video, Free BBQz, FREE Punch & LADY JAYDEE n MachoziBand Live Show.
This FRIDAY From 9pm.
PLS USE THE SAME INVITATIONS cardsVOTE for @diamondplatnumz #MTVAfricaMusicAward2014 ☆ Best Collaboration ☆ Best Male ☆ Mimi tayari sasa bado wewe fuata link kwa kuingia kwenye account ya Instagram ya @diamondplatnumz halafu bonye link yenye rangi ya BLUE kisha utaweza kufuata maelekezo madogo. Piga kura mara nyingi kila baada ya lisaa limoja unaweza kuvote. GO GO GO TANZANIA #Thamini_Vya_Nyumbani@diamondplatnumz ndani ya tuzo za #MTVBaseAfrica yupo kwenye category mbili... GO GO GO Tanzania BIG UP ndugu yangu@richmavoko, @tinydaddy #KulalaUZEENI#BataBoys #GambeBoys #KulalaUZEENI wit ma nica @prez_titoPart 2Mdogo wangu @diamondplatnumz hebu kaa siku moja mtizame huyu jamaa nahisi kuna kitu utakijenga kwenye show zako za stejini...2 weeks remain Tell ur friend's #HistoriaConcert2014Unafikiri mida hii mchemsho huu utaupata wapi kama sio hapa @nyumbanilounge PEKEE... haya kama uko kwenye foleni ya #Namanga to #Moroco haya pitia hapa urekebishe tumbo lako halafu nenda home kapige menu nzito uliyoandaliwa na dada wa kazi au mke wako hahaaa #hadiRAHAVideo mpya ya @tidmnyama feat @professorjaytz inayoitwa #RAHA imetoka na unaweza kuendelea kuitizama mara kwa mara kupiti www.djchokamusic.com #Wazee_Wamekutana hahahaa yaani hii video itakufanya #iingieeeeeeeeee Ubongoni mwako vizuriNiko #SamakiSamaki ya town kwenye bday party ya mdogo wake @new_kajala more pic zinakuja kupitia www.djchokamusic.com STAY TUNE