Thursday , 30 October 2014
Yatosha Web Servicesfree vector
Twitter
chokadj on Twitter
Latest Tweet: Arusha 1.11.14 nakuja kwenye show moja tu ya #FungaMwakaLaWEUSI2014 kwa kiingilio cha buku 10 TU ndani ya... http://t.co/klmLbtifdf
74,338 people follow chokadj

djchokamusic
2163
 Photos
9856
 Followers
2
 Following
VOTE FOR @Diamondplatnumz (AFRIMA)VOTE FOR @vanessamdee BEST FEMALE ARTIST EAST AFRICA (AFRIMA) To Vote Find the link on her Instagram BIO @vanessamdeeKaa tayari kwa ujio mpya kutoka kwa @bonta_maarifa 4.11.14Ni kesho Ijumaa tarehe 31 mwanadada @jidejaydee atakapozindua mgawa mpya wa #MOG Bar and Restaurant zamani palikuwa pakiitwa Nyumbani Lounge huku akiwa na Band yake. Ni kwa kiingilio cha elfu 10 TUHallow Lets share And meet This SUnday @Kibo Complex Tegeta Club71
Tunakutana na Big Show kutoka YoungDee&CountryBoy
watasikndikiza na Steve RnB Tsh.7000 Mlangoni
@Youngdaresalama @countryboytzWewe unadhani usiku huu utaenda wapi zaidi ya @newmaishaclub kuangalia #BlackBeautyCompetition yaani wale watoto WEUSiiiiiiii 😃😃😃😃 halafu kwa kiingilio cha buku 10 unabahatika kuona show kaliiiiiii kutoka kwa Mlala Hoi @izzo_bizness halafu mshereheshaji wa show atakuwa ni @hkhyper halafu mkaanga chapati jikoni yupo mpishi @dvjcrayzeommy Haya hayaaa 🏃🏃🏃🏃🏃🏃ndio kwanzaaaaa tunakusubiri wewe #Nitalala_UzeeniPata kuwa wa kwanza kudownload ngoma mpya ya Star wa TPF @hisiatz produced by #grandmasterrecords @johnbgrand #gimme a call @mkitodotcom hapa https://mkito.com/song/gimme-a-call/3054 follow @johnbgrand @hisiatz powered by @fresh120media www.fresh120media.com we got U coveredHATIMAYE LEO NI LEO!!
Ile siku ambayo Wana-Mbeya walikuwa wanaisubiri kwa hamu IMEWADIA...Ndani ya NEW CITY PUB kuanzia saa 2 Usiku ile PARTY ya kijanja kuliko zote itakuwa inarindima..INSTAGRAM PARTY ndani ya Mbeya..
@izzo_bizness pale kati..
@shettatz akikamua mwanzo mwisho...
#Stereo akiwarusha kwa Hip Hop Adimu...
@niitesonga akitoa mistari konde usiku kucha...UNAANZAJE KUKOSA??Tukutane CITY PUB kuanzia Saa 2 Usiku...Watu wangu wa SAUT...MZUMBE...TEKU...MUST...TUMAINI...IYUNGA...Tukutane hapo BILA KUKOSA
Mtonyo ni Elfu 10 tu na Bia ya BURE ya CLUB07 mlangoni paaap!!!
Powered by @bikira_wa_kisukuma @bikira_wa_kisukumaTriple A FM RADIO presents ROMA NYT @MILESTONE NIGHT CLUB...mbele ya sakina supermarket!!! Tsh. 10000/=jumapili 26th after tigo show!!! Cc @roma2030Only 1 more days to go, the countdown continues!!! Muziki Wa Hisia, Sherehe ya Mji Mzima!!!
#MuzikiWaHisia #AllianceFrancaise #Arusha #25thOctober #GoodMusicforGoodPeopl #Livemusic #LiveConcert #ShereheYaMujiMuzima #NiShidaaaa #Ifyoukillthismissyourself #dontforgettotellyourmama #oryoursister #kituchaArushaaa #chaliangu #nikwere #lmfao #EmbracetheMusic @gracematata @nakaayasumari @hisiatz @bensoul254 @xandacage @johnbgrand#DJChokaMusic inapenda kutoa salamu za Birthday kwenda kwa msanii wa Bongo Fleva anajulikana kwa jina la  @bongelanyau Mwenyezi akujalie maisha marefuWEUSI hawa hapa tena ndani ya ARUSHA #FungaMwakaLaWEUSI2014Only 2 more days to go, the countdown continues!!! Muziki Wa Hisia, Sherehe ya Mji Mzima!!!
#MuzikiWaHisia #AllianceFrancaise #Arusha #25thOctober #GoodMusicforGoodPeopl #Livemusic #LiveConcert #ShereheYaMujiMuzima #NiShidaaaa #Ifyoukillthismissyourself #dontforgettotellyourmama #oryoursister #kituchaArushaaa #chaliangu #nikwere #lmfao #EmbracetheMusic @gracematata @nakaayasumari @hisiatz @bensoul254 @xandacage @johnbgrand@teamtezza is calling out altezza out for a clean Ride or Die road trip to Bwagamoyo. Its gonna take place on the 26 of October starting point Mlimani City from 7a.m to 9a.m. Y'all dont miss this..Tell a friend to tell a friend to show up. For More info please call +255 683 246 261 #RideOrDieJarida linaloongoza Bongo kwa mastori ya kufa mtu ‘Baabkubwa Magazine’ kwa kushirikiana na kampuni ya Drimz wanakuletea bonge moja la party linaloitwa ‘Party With Baabkubwa’ ambalo litahudhuriwa na mastaa kibao wa Bongo.

Mbali na mastaa kutakuwa na mashindano ya wasanii wanaoimba na kuchana wanaosoma vyuo vikuu na winnerz watapata very Big Deal ikiwemo ku-record singoz matata kwa Lamar wa FishCrab Audio Station.

Kwa mdada na mkaka watakaotoklezea na swagga za ukweli watapata gift bomba from duka bora la nguo in the city la Street Soul.
Mtonyo wa mlangoni ni sh 10,000 na watu 50 wa mwanzo watapata pia mazawadi ya ukweli, hayo ni machache tu mengi yata-happen Club Sun Cirro, Sinza, tarehe 1/ 11/ 2014 siku ya Jumamosi.

Be there or be squared… njoo u-dance mpaka udondoke!!!