Friday , 31 October 2014
Yatosha Web Servicesfree vector
Twitter
chokadj on Twitter
Latest Tweet: Haya wale mnaoenda MLIMANI CITY na magari yenu Menu ya Parking ndio hii hapa.. http://t.co/edmKILyVur
74,450 people follow chokadj

djchokamusic
2167
 Photos
9875
 Followers
2
 Following
Jay Z wa TANGA huyu hapa leo pale #ClubLaCasachika kama naiona vile itakavyokuwa #Ndogooooooooo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ mtu 3 zitakuwa kila mmoja na kazi yake Yaani nikimaanisha @mwanafa yeye atatoa burudani, halafu mkaanga chapati @djzeroxxl yeye atadondosha mijigoma yake halafu @bdozen yeye mshereheshaji mkuuπŸ˜‚ kwa kiingilio cha elfu 8 TU mlangoniNEW AUDIO: Kitale ft Mide Zo & Stan Bakora – Kitu Kidogo http://t.co/0kYOnQN1cU

Powered by www.djchokamusic.comStay Tune...Pakua wimbo Rasmi wa PAX ft Walter Chilambo-Muda HAPA  https://mkito.com/song/muda-ft-walter-chillambo/3126  #shidampya #supportafricanartists & follow @paxkweli1 powered by www.vmgafrica.com @vmgafricaVOTE FOR @Diamondplatnumz (AFRIMA)VOTE FOR @vanessamdee BEST FEMALE ARTIST EAST AFRICA (AFRIMA) To Vote Find the link on her Instagram BIO @vanessamdeeKaa tayari kwa ujio mpya kutoka kwa @bonta_maarifa 4.11.14Ni kesho Ijumaa tarehe 31 mwanadada @jidejaydee atakapozindua mgawa mpya wa #MOG Bar and Restaurant zamani palikuwa pakiitwa Nyumbani Lounge huku akiwa na Band yake. Ni kwa kiingilio cha elfu 10 TUHallow Lets share And meet This SUnday @Kibo Complex Tegeta Club71
Tunakutana na Big Show kutoka YoungDee&CountryBoy
watasikndikiza na Steve RnB Tsh.7000 Mlangoni
@Youngdaresalama @countryboytzWewe unadhani usiku huu utaenda wapi zaidi ya @newmaishaclub kuangalia #BlackBeautyCompetition yaani wale watoto WEUSiiiiiiii πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ halafu kwa kiingilio cha buku 10 unabahatika kuona show kaliiiiiii kutoka kwa Mlala Hoi @izzo_bizness halafu mshereheshaji wa show atakuwa ni @hkhyper halafu mkaanga chapati jikoni yupo mpishi @dvjcrayzeommy Haya hayaaa πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒndio kwanzaaaaa tunakusubiri wewe #Nitalala_UzeeniPata kuwa wa kwanza kudownload ngoma mpya ya Star wa TPF @hisiatz produced by #grandmasterrecords @johnbgrand #gimme a call @mkitodotcom hapa https://mkito.com/song/gimme-a-call/3054 follow @johnbgrand @hisiatz powered by @fresh120media www.fresh120media.com we got U coveredHATIMAYE LEO NI LEO!!
Ile siku ambayo Wana-Mbeya walikuwa wanaisubiri kwa hamu IMEWADIA...Ndani ya NEW CITY PUB kuanzia saa 2 Usiku ile PARTY ya kijanja kuliko zote itakuwa inarindima..INSTAGRAM PARTY ndani ya Mbeya..
@izzo_bizness pale kati..
@shettatz akikamua mwanzo mwisho...
#Stereo akiwarusha kwa Hip Hop Adimu...
@niitesonga akitoa mistari konde usiku kucha...UNAANZAJE KUKOSA??Tukutane CITY PUB kuanzia Saa 2 Usiku...Watu wangu wa SAUT...MZUMBE...TEKU...MUST...TUMAINI...IYUNGA...Tukutane hapo BILA KUKOSA
Mtonyo ni Elfu 10 tu na Bia ya BURE ya CLUB07 mlangoni paaap!!!
Powered by @bikira_wa_kisukuma @bikira_wa_kisukumaTriple A FM RADIO presents ROMA NYT @MILESTONE NIGHT CLUB...mbele ya sakina supermarket!!! Tsh. 10000/=jumapili 26th after tigo show!!! Cc @roma2030Only 1 more days to go, the countdown continues!!! Muziki Wa Hisia, Sherehe ya Mji Mzima!!!
#MuzikiWaHisia #AllianceFrancaise #Arusha #25thOctober #GoodMusicforGoodPeopl #Livemusic #LiveConcert #ShereheYaMujiMuzima #NiShidaaaa #Ifyoukillthismissyourself #dontforgettotellyourmama #oryoursister #kituchaArushaaa #chaliangu #nikwere #lmfao #EmbracetheMusic @gracematata @nakaayasumari @hisiatz @bensoul254 @xandacage @johnbgrand#DJChokaMusic inapenda kutoa salamu za Birthday kwenda kwa msanii wa Bongo Fleva anajulikana kwa jina la  @bongelanyau Mwenyezi akujalie maisha marefu