(Photo’s) DUDE kucheza kama YAHAYA katika video ya LADY JAYDEE “YAHAYA”

0

IMG_0014 IMG_0017 IMG_0032 IMG_0035 IMG_0051 IMG_0054 IMG_0061 IMG_0062 IMG_0070 IMG_0077Msanii wa bongo movie anajulikana kwa jina la DUDE yeye ndie atakayecheza pati ya YAHAYA katika video mpya ya mwanadada LADY JAYDEE. Video hii imeanza kushutiwa leo jioni, kaa tayari kwa kumuona Dude akiwa kama Yahaya

Comments

comments