(Photo’s) MAKING VIDEO YA MAJANGA NDANI YA SOUTH AFRICA

0

R35A4007 R35A4054 copy R35A5035 R35A5174 snrr Video ya wimbo wa MAJANGA wa SNURA imefanyika katika nchi mbili tofauti ambapo ni Tanzania na south Africa kwa Tanzania itafanyika magwepande wilaya ya pwani na hivi karibuni kumalizia vipande vya video hiyo na SOUTH AFRICA imefanyika katika mji wa PRITORIA NA JOHANESBUG. ni video inayoonyesha mazingira harisi ya wimbo huo kwa kila eneo, mastar mbalimbali wataonekana katika video hiyo ya majanga akiwepo JACKLINE WOLPER,CHUCHU HANS,CHEK BUDI,DUDE, na wengine kibao.Akiongea manager wa SNURA hemedi kavu a.k.a hyperman h.

Comments

comments