(Photo’s) The making of music video “MASAMBE WENA” by M 2 THE P

0

1Baada ya kimya kingi na misukosuko ya hapa na pale, msanii wa bongo fleva anayewakilisha kundi la waChemba anajulikana kwa jina la M 2 the P anarudi tena na kichupa kipya cha wimbo wake unaoitwa Masambe Wena. Wimbo huu amefanya na Chege pamoja na Country Boy.

2 3 4 5

 

Comments

comments