(Photo’s) Utengenezaji wa video mpya ya SUMA MNAZARETI “UMECHELEWA”

0

1

Pichani ni Suma Mnazareti na video model Caro wakiwa location pande za Cape Town South Africa wakishoot video mpya inayokwenda kwa jina la UMECHELEWA. Nimezungumza na Suma kwa njia ya BBM akaniambia video yake ilianza kushutiwa jana na bado inaendelea, director wa video hiyo anaitwa Keshy kutoka nchini Burundi.

2 cape town director keshy kazini DSC00025 DSC00086 DSC00088 DSC00100 DSC00124 DSC00136 DSC00141 DSC09941 naija swagg suma

Comments

comments