(Pic+Audio) Hii ndio ajali aliyoipata msanii KALALA JR akiwa na Mbunge wa Nyamagana Mwanza (Mh Mabula)

0

Msanii Kalala Jr kutoka Twanga Pepeta usiku wa jana majira ya saa 3 akiwa safari kurudi Dar es Salaam alinusurika kifo akiwa na watu watano kwenye gari hiyo ya private wakitokea Dodoma.

Kalala akiongea na DJChokaTV anasema kwenye gari alikuwa na Mh Mabula Mbunge wa Nyamagana Mwanza pamoja na John Dotto ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi na mtumishi mmoja wa serikalini anaitwa Mashashi ambaye alipata jeraha usoni pamoja na dereva anaitwa Dick.

ZAIDI MSIKILIZE HAPA CHINI AKIELEZEA KWA UFUPI.


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments