(Picha) Mh. NAPE NNAUYE amkabidhi DIAMOND (@diamondplatnumz) bendera ya taifa.

0
Waziri wa habari sanaa na michezo mh Nape nnauye akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumkabidhi bendera ya Tanzania msanii wetu na balozi wetu @diamondplatnumz ili kuiwakilisha nchi yetu katika mashindano ya #AFCON2017 nchini Gabon ambapo atatumbuiza katika ufunguzi wa mechi ya michuano hiyo.

Simba Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa Habari mara baada ya kukabidhiwa bendera ya Tanzania na waziri wa habari sanaa na michezo Mh Nape Nnauye ili kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya #AFCON2017 nchini Gabon ambapo atatumbuiza katika ufunguzi wa mechi ya michuano hiyo.

3 4

SOURCE: https://www.instagram.com/wcb_wasafi/

Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments