PRODUCER DAXO CHALI AMETANGAZA KUTOWASIMAMIA HAITHAM NA KIM

0

Producer kutoka Mj Records Daxo Chali ametangaza rasmi kutowasimamia wasanii wa kike Haitham na Nini ambao amekuwa nao kwa muda mrefu na kuweza kufanya nao kazi kama Fulani ya Haitham aliyomshirikisha Mwana FA. Playboy aliyofanya na Wema Sepetu huku Nini nae alitoa Wimbo wake kwa jina la Wimbo.

Sasa kupitia kurasa yake ya instagram, Daxo chali ametangaza kutofanya tena kazi na wasanii hao. Daxo aliandika.

Nimeamua Kuacha Kuwasimamia , Juhudi Zangu Zimewafikisha Hapo. So Yeyote Atakayeweza Kuwaendeleza Please Awasaidie. Nitafurahi Nikiona Wanaendelea Nakufanikiwa , 🙏🏽 Ni Wasanii Wazuri Sana Wakipata Mtu Akawapatia KuwaPanga. Mapungufu Yapo Kwa Kila Mtu.

  • haithamkimhakukaa kimya, alicomment hivi. Time will tell hata sisi tuna mengi ya kuongea…!!🙏🏻❌
  • na Daxo chali nae akajibu
  • daxochali@haithamkim Kila La Kheri, Me Sitosema Mengi, Hayo Machache Niyoyachagua Kusema Yanatosha, Sioni Ulazima Kusema Mengi Ambayo Watu Wanayajua Tayari. 🙏🏽, We Ni Msanii Mzuri Sana, Discipline Tuu Ndio Unayohitaji. 🙏🏽 Mungu Akufumbue Uone Vyema.

SOURCE: http://www.lilommy.com


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments