ROSTAM (Roma & Stamina) TEGEMEA KOLABO YAO NA MSANII HUYU MKALI KUTOKA KENYA

0

Wakiwa bado wapo nchini KENYA, Roma na Stamina wanaounda kundi la ROSTAM  wameonekana wakiwa wameposti picha kwenye account zoa walita studio na msanii kutoka Nairobi namzungumzia KHALIGRAPH JONES. Hawakuandika kitu chochote je ni kitu gani kinapikwa bali waliweka caption iliyosomeka “ANOTHER ONE”

 


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments