Sunday , 21 December 2014
Yatosha Web Servicesfree vector
Twitter
chokadj on Twitter
Latest Tweet: Last night kwenye bday ya Shishi nikakutana na msanii huyu mpya anaitwa @newfaceprettyboy http://t.co/0DEosyUKOA
79,850 people follow chokadj

djchokamusic
2345
 Photos
10862
 Followers
192
 Following
Nilimpokea mwenyewe huyu dada insta baada ya kukaa sana chini ya miti akisubiri wateja wamfate kama ilivyozoeleka kwa madalali walio wengi mitaani nikamsaidia akafungua Acc yake insta akawa anapost kazi zake za nyumba,Appartments,Frame,Viwanja,Godowns,Magari nk naa baada ya kukua na kukomaa zaidi akaanza kufanya promo za maduka mbalimbali kupitia Acc yake kwa lafudhi ya kidalali swafi big up dada @dalalmwanamke na sasa amekuwa zaidi najiskia furaha kuona amefungua kampuni yake ambayo ameajiri agents zake ktk kurahisisha huduma bora kwa wateja wake inafurahisha sana ni nani huyu hapa hii hapa ni no÷ yake 0712052078 na hii ni Acc yake naomba mkajazane humo ni @dalalmwanamke @dalalmwanamke @dalalmwanamke nashukuru pia kwa kushukuru dadangu @dalalmwanamke#TeamMAMBA Presents BEACH BAND BONANZA ni kesho Jumamosi ndani ya #Azura Kwa kiingilio cha Elfu 20 VIP huku wakubwa elfu 10 na watoto elfu 5 kuanzia saa SITA MCHANA hadi Usiku MNENE.
___________________________________
Powered by www.djchokamusic.com @chokadjWimbo mpya wa ANGEL BENARD anakwambia LINDA MOYO WAKO, Usikilize hapa.. http://t.co/hXqHCQZmuu
________________________
Powered by www.djchokamusic.com @chokadjBaadhi ya picha zilizochukuliwa usiku huu kwenye show ya #Zari_AllWhite_CirocParty hizi hapa… http://t.co/kkQgR5lpGC
______________________________
Powered by www.djchokamusic.com @chokadjALIKIBA @diamondplatnumz ANYAKUWA TUNZO HII NYIGINE...Rap Diocese and De Fatality Music Presents : Exclusive  Music Video : of  Bgway (@Bgway_gwayne) - Vuta Nikuvute (Official Video Directed by @IvaniTallent )  To watch Check out Link on @Vivajoseph Profile or @bgway_gwayne Profile 
https://www.youtube.com/watch?v=BY12f6S79igFollow MOPLUS @babawaukoo Mmoja kati ya wasanii kibao wataodondosha burudani katika Funga Mwaka La Kaskazini pale Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha Sikukuu ya Christmas tarehe 25 Desemba Kuanzia saa Tano hadi Saa kumi na mbili jioni, MC wa tamasha ni Mpoki toka Orijino Komedi na mlangoni utapata PEPSI moja Bure, Kiingilio kwa Watoto Tsh 2500/=, Wakubwa Tsh 3500/= na V. I. P Tsh 5000/= Usikose Funga Mwaka la Kaskazini #FMLK kwa Hisani ya Mambo Jambo Radio 93.0 FM , Clouds Media Group, Sunrise FM, Banana investments Limited, Pepsi-SBC Arusha, Triple A FM, @chizi_mapicha & Radio 5 FM powered by @mambojamboradio @vmgafrica www.vmgafrica.com #FMLK #supportafricanartists
Kwa info zaidi wasiliana na kamati Uratibu  wa Tamasha kwa +255 757 792 630 au ‪+255 718 441 699‬ au +255 768 511 578

@weusikampuni @gnakowarawara @joh_makini @lordmweusi @nikkwapili @bonta_maarifa @babawaukoo @babamkubwa @kckdwas @gentriez @bounakojembe @beemantz @youngkillermsodoki @mpoki_mjuni1 @justinoo_cukazbeats @booxkck @spacdawg @umbwax @staminashorwebwenziVideo mpya ya @joh_makini Coming Soon...Morogoro mko tayari kuipokea #Tuo8January Concert..?? Ni Jumapili hii viwanja vya SABA SABA MOROGORO, list nzima ya wasanii icheki kwenye hili Poster
__________________________
Powered by www.djchokamusic.com @chokadjRIP #AishaMadinda🙏De fatality Music Presents:  Usiku wa Mabinti at Club Masai Kinondoni ,Alhamisi  Ya  KESHO, Tarehe 18 mwezi Wa 12  Bila kusahau Special performance kutoka (@TeamSelekta)  Mesenselekta (@Mesenselektatz) | Pam D pam Daffa )| @pameladaffatz Baby Madaha @baby_madaha | Msaga Sumu | Yakuzamob4ever (@Yakuzamobb4ever) | Team Majanga.
Kiingilio Tsh 7,000/= Tu 
Sponsored by  Ndio Fashion |  Mapenzi Classic | Jay Hustler Unique. .Don't Miss The Show. 
Poster Created by. Viva Conscious Arts ( @Vivajoseph )
__________________________
Powered by www.djchokamusic.comNEW AUDIO: PROF JAY (@ProfessorJayTz) ft. JOSE CHAMELEONE (@JChameleone) – KWA AJILI YAKO (Just For You) http://t.co/NZQifGmzEgFollow CHABA @babamkubwa Mmoja kati ya wasanii kibao wataodondosha burudani katika Funga Mwaka La Kaskazini pale Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha Sikukuu ya Christmas tarehe 25 Desemba Kuanzia saa Tano hadi Saa kumi na mbili jioni, MC wa tamasha ni Mpoki toka Orijino Komedi na mlangoni utapata PEPSI moja Bure, Kiingilio kwa Watoto Tsh 2500/=, Wakubwa Tsh 3500/= na V. I. P Tsh 5000/= Usikose Funga Mwaka la Kaskazini #FMLK kwa Hisani ya Mambo Jambo Radio 93.0 FM , Clouds Media Group, Sunrise FM, Banana investments Limited, Pepsi-SBC Arusha, Triple A FM, @chizi_mapicha & Radio 5 FM powered by @mambojamboradio @vmgafrica www.vmgafrica.com #FMLK #supportafricanartists
Kwa info zaidi wasiliana na kamati Uratibu  wa Tamasha kwa +255 757 792 630 au ‪+255 718 441 699‬ au +255 752 976 547

@ibra_da_hustla @weusikampuni @gnakowarawara @joh_makini @lordmweusi @nikkwapili @bonta_maarifa @babawaukoo @babamkubwa @kckdwas @gentriez @bounakojembe @beemantz @youngkillermsodoki @mpoki_mjuni1 @justinoo_cukazbeats @booxkck @spacdawg @umbwax @staminashorwebwenziNEW UPDATES: 16th December 2014
______________________________
NEW VIDEO: P-Unit (@PUNIT_KENYA) – WEKAWEKA (Official Music Video) http://t.co/iMz1HmkzYc
---------------------------------
Wimbo mpya kutoka kwa TAMMY “The Baddest”. Wimbo unaitwa DOWN LOW. http://t.co/GMA1ky4njr
---------------------------------
Sikiliza hapa wimbo mpya wa YAMOTO BAND unaitwa NITAKUPWELEPWETA.. http://t.co/b1lIhKJFiM
---------------------------------
NEW AUDIO: Ibra Da Husla ft Bou Nako – Call 911 (Ceasar.Noiz) http://t.co/WWFF40WCDV
---------------------------------
Msanii MOPLUS kutoka ARUSHA ametoa wimbo huu mpya “WAFUNDISHE” (NOIZ) http://t.co/J6DM4LQbSf
---------------------------------
NEW AUDIO: PVCambo ft. Mr Blue – BAEBY http://t.co/rB8E0skQN6
---------------------------------
PHOTO’S: Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa video mpya ya MANAGER MANENO http://t.co/I98clOQB5W
__________________________
Powered by www.djchokamusic.com