TECNO DUDE yawapa furaha watu Sabasaba.

0

Katiaka kuazimisha kilele cha siku kubwa ya Sabasaba leo jijini Dar es salaam TECNO DUDE ilijidhihilisha wazi kuwa yenyewe imetengenezwa kwaajili ya kuwakomboa Watanzania wote, Ni simu yenye bei nafuu ila ina fanya vitu vikubwa sana mpaka wateja wake wameshindwa kuvumilia na kutuambia yale yaliyomo miyoyoni mwao kama unavyoona picha hapo chini zikiongea kwa tabasamu zito baada ya kuijua TECNO DUDE  kiundani zaidi


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments