Vaa pendeza na nguo kutoka MAVAZI CLOTHING walioko jijini LONDON.

0

1 Kuwa mjanja kwa kuvaa nguo zilizotengenezwa na watanzania wenzetu waishio UK, wanajulikana kwa jina la Mavazi Clothing wanakila aina ya nguo na kofia yenye logo ya Mavazi na logo zingine nyingi. Kama unavyoona picha hizi pamoja na bei zao jamaa wanasema wanakuja na punguzo la bei wa watu wanaotokea EAST AFRICA watauziwa nguo kwa bei yakinyumbani nyumbani, pia unaweza kuwatembelea katika website yako hii http://www.mavaziclothing.com/ kujione mwenyewe vitu gani walivyo navyo. Pia kama unatokea Tanzania unaweza kununua nguo hivi kupitia Mpesa, tiGO Pesa au kwa Bank Account, #ThaminiVyaNyumbani

2 3

 

Comments

comments