(Video) ALI KIBA (@OfficialAliKiba) SOUTH AFRICA TOUR

0

Mshindi wa tuzo ya MTV EMA 2016, Alikiba ametua nchini Afrika Kusini tayari kwa ziara yake ya kwanza nchini humo.

Wakati akitangaza kwa mara ya kwanza ziara hiyo, Alikiba aliandika, “Happy New Year. It’s time to meet my fans across the world. I start with South Africa in February 2017! . KING KIBA LIVE ON TOUR IN SOUTH AFRICA.”

Pamoja na ziara ya Afrika Kusini, Kiba atakuwa na nyingine baadaye Marekani na Ulaya.


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments