(Video) Alichojifunza AFANDE SELE kutoka kwa Marehemu Baba yake BELLE 9

0

April 18, 2017 zilitangazwa taarifa za kifo cha mzee Damian Nyamoga ambaye ni baba mzazi wa Belle 9 ambaye alifariki usiku wa kuamkia April 18, 2017 akiwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kugongwa na pikipiki mjini Morogoro.

Mzee Nyamoga amezikwa April 19, 2017 mjini Morogoro ambapo moja kati ya mastaa walioguswa na msiba huo mzito ni Mfalme wa Hip Hop Tanzania Afande Sele ambaye licha ya kuwa mtu wa karibu wa familia ya marehemu, ameiambia Ayo TV na millardayo.com namna walivyoishi na mzee Nyamugo.

Video by Millard Ayo


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments