(Video) Alichokizungumza msanii ISABELA MPANDA aka BELA FASTA kuhusu Bongo Movie kuandamana.

0

Kupitia Account yake ya Instagram msanii wa Bongo Fleva anayewakilisha kundi la Scorpion Girls Isabela Mpanda “Bela Fasta”ametoa POVU lake kwa baadhi ya wasanii wa Bongo Movie walioandamana jana Aprl 19 kupinga kuingizwa kwa Filamu za kutoka nje ya Tanzania.

HAPA CHINI NIMEKUWEKEA VIDEO FUPI ALITOIPOSTI INSTAGRAM:

HAPA CHINI NDICHO ALICHOKIPOST KUPITIA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM:


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments