(Video) BEN POL (@IamBenPol) ajibu tuhuma za kuiba wimbo “PHONE”

0

screen-shot-2017-01-11-at-3-29-57-pm

Mkali wa Miondoko ya RnB Tanzania Msanii Ben Pol amefunguka juu ya wanaodai ameiba Mistari kwenye wimbo wake mpya unaofahamika kama PHONE aliomshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr Eezi na kwamba yeye hajawahi kuiba wimbo wa mtu kwani keshatoa Hit kibao kama Nikikupata, Samboira, Sophia na nyingine kibao na zote ni za miaka kadha iliyopita ina maana zote nimeiba ? alisema ben Pol na kuwataka wanaozusha hivyo waache kutafuta Kick kupitia yeye badala yake wafanye Kazi nao zisikike lakini pia wasikilize mziki wake mzuri.


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments