(Video) DJ OMMY CRAZY ANUSURIKA KIFO KWA AJALI HII MBAYA

0

DJ Mkali kutoka E-FM na TV-E anajulikana kwa jina la DJ OMMY CRAZY usiku wa kuamkia leo March 9 maeneo ya Mbezi Beach Afrikana alinusurika kifo kwa ajali mbaya aliyoipata akiwa na gari lake aina ya PRADO. Mungu aliweza kumtoa Ommy salama ila gari lake ndio limeharibika vibaya kama picha unavyoiona hapa chini ya gari.

HII NI VIDEO FUPI YA AJALI HIYO.

SUBSCRIBE DJCHOKA TV

Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments