(Video) Msanii wa Bongo Fleva TID pamoja na DJ ROMY JONS waingia GYM.

0

TID mkongwe kwenye Bongo Fleva baada ya kujitangaza anatumia Madawa ya Kulevya na kusema kwa wananchi ameacha kutumia Madawa hayo, toka juzi kupitia account yake ya Instagram anapost video clip na picha akiwa GYM pamoja na mshkaji wa wakitambo anaitwa Romy Jons ambaye ni DJ kutoka kundi la WCB.


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments