(Video) RUBY ‘Wasanii wa kike hatushirikiani, Sijishushi kwa mtu.

0

screen-shot-2016-11-08-at-4-06-54-pm

Hii ndo list ya ngoma 5 kali alizochagua Ruby kwenye The Playlist, Nov 5. 2016

1. Amani – Paul Clement
2. Ndi Ndi Ndi – Lady Jay Dee
3. Nitarejea – Diamond Platnumz x Hawa
4. Wivu – Jux
5. Salome – Diamond Platnumz x Rayvanny

The Playlist ni kila Jumamosi Kuanzia Saa 6 hadi Saa 8 mchana kupitia 100.5 Times FM na Omari Tambwe aka Lil Ommy, The Baddest Boi.

Star wako anashuka kubonyeza ngoma 5 kali anazozikubali na mastori kibao. info zaidi follow @LilOmmy kwenye instagram na twitter na make sure una SUBSCRIBE channel hii LilOmmyTV ili uwe wa kwanza kucheki interviews zote za kibabe. #thePlaylist #TimesFM 100.5


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments