(Video) WAZIRI NAPE AKIRI KUWA BLOGGERS NDIYO WALIYOIFUFUA CCM

0

screen-shot-2016-12-06-at-5-03-16-pm

Waziri Nape akili kuwa Bloggers ndiyo waliyoirudisha madarakani CCM kwa jinsi ambavyo waliweza kuisemelea vyema kwa wananchi.

Akizungumza na Bloggers jijini Dar katika Mkutano Mkuu wa Mwaka na Mafunzo kwa wanachama wa Tanzania Bloggers Network (TBN) alisema kuwa serikali inatambua vyema umuhimu wa blogs na ndizo zilizofanya kazi kubwa kuinyanyua CCM mpaka ikarudi madarakani.


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments