(Video) Waziri NAPE aunda kamati kuchunguza Sakata la MAKONDA kuvamia CLOUDS MEDIA GROUP

0

Waziri Nape Nnauye, ameunda kamati ya kuchunguza kitendo kilichofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuvamia ofisi za Clouds Media Group, kwa lengo la kushinikiza habari yake irushwe katika kipindi cha Shilawadu.
Waziri Nape amesema kamati hiyo itafanya kazi kwa muda wa saa 24 na baada ya hapo, itatoa ripoti kwa waandishi wa habari na kila kitu kitaanikwa hadharani.
Huu ni mwendelezo wa sakata la mkuu wa mkoa, kudaiwa kuvamia ofisi za Clouds FM.


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Comments

comments