Saturday , 29 November 2014
Yatosha Web Servicesfree vector
Twitter
chokadj on Twitter
Latest Tweet: RT @Idiot_cony: CCM mtaji wetu ni akina mama na wazee ambao ukitaja bilioni 306 hawakueelewi kabisaaa..bilioni ndo nini?
77,026 people follow chokadj

djchokamusic
2261
 Photos
10417
 Followers
186
 Following
Kampuni ya @biggybangbang inayo furaha kuwataarifu yakuwa msanii wao @tammy__tammytz  wiki ijayo atatoa wimbo wake wakufungia mwaka... So mashabiki wa @tammy__tammytz kaeni mkao wakumuona Tammy akiwa na mwonekano mpya kimwili na kuimba.... ASANTENI:#Repost from @albertmanifester

Upigaji wa kura katika tuzo za SWAHILI FASHION WEEK unaendelea. Unaweza kunipigia kura kwakutuma CODE niliyopewa andika neno VOTE SFW FP 05 kisha tuma kwenda namba 15678 au kwakupitia tovuti ya www.swahilifashionweek.com

ASANTENI 🙏Jumamosi hii ndani ya #Escape1 ni FUNGA MWAKA NA WEUSIVideo mpya ya JOSE CHAMELEONE (@JChameleone) “MILLIANO” unaweza kuitizama hapa.. http://t.co/MEsYN0v4hI
______________________________________
Powered by www.djchokamusic.comTupogo Remix Coming Soon... Cc @ommydimpoz @jokatemPICHA ZA AJALI ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI ENEO LA KONA KALI YA MKANYAGENI TANGA ZIKO HAPA http://t.co/BLlOwPebmd
______________________________________
Powered by www.djchokamusic.comWorkEthic & Hefemi Studios Presents: WWD Video Launch 
Date: Thursday Nov 27th
Time: 7pm (sharp)
Place: @mogbarnrestaurant
Entrance: 5000/= (Regular)  Free ( V.I.P)
DJ Pack (Elements) & @DJVasley (Samaki Samaki) will blaze the show.

Also special preview (teaser) of @jidejaydee @stereotanzaniaUsije sema hukupewa taarifa hii ni show ya FUNGA MWAKA Pande za GEITA MWANZA ni JUMAMOSI hii ya tarehe 29 ndani ya #AMBASSADOR unaanzaje kukosa sasa km upo kanda ya ziwa wkt MR OLE @Toxstartz atakuwa hapo kukuletea zile nyama Toka kwa ObamaNEW UPDATES:

Je unapenda KULA BATA na DIAMOND (@diamondplatnumz) siku ya tuzo za CHANNEL O..? hebu ingia hapa http://t.co/H6POAcUdHD
------------------------------------------------
Waje (@OfficialWaje) ft. Diamond (@diamondplatnumz) – COCO BABY (Official Music Video) http://t.co/3aBaFeoOA9
------------------------------------------------
Jumamosi hii kuna DJ mwingine anaenda kuwasha moto jumba la BIG BROTHER, Unataka kumjua? Ingia hapa http://t.co/UW5XKweWyf
-----------------------------------------------
Wimbo mpya wa mwanadada STOSH (@stosh_fellie) ft Kenny Mavyombo – QUEEN WA FLOW http://t.co/9nRdfL9rw1
------------------------------------------------
Kuwa wa kwanza kupata ZAWADI YA KRISMASI kutoka kwa WILLIAM OTUCK http://t.co/IBoTiJiLMY
------------------------------------------------
Powered by www.djchokamusic.comFUNGA MWAKA NA WEUSI ndani ya DAR ES SALAAM Jumamosi hii pale #Escape1Bango linajieleza kwamba tarehe 5 mwezi ujao pale Viwanja vya Posta Kijitonyama kutakuwa na nini. R.A.P Cc @onetheincredibleComing Soon kutoka kwa @malaika6tz @malaika6tz @malaika6tzBONGO FLEVA bado inakukumbuka #SharoMillionea Pumzika kwa Amani🙏 2yrs